RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI APOKELEWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MKOAN KILIMANJARO APRIL 29,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Said Meck Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro akitokea Mkoani Dodoma tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Jumamosi Aprili 29, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na Waziri Mkuu Mhe Kassam Majaliwa wakiangalia ngoma za utamaduni  mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Waziri Mkuu Mhe Kassam Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Said Meck Sadick mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akisalimiana na Rais wa TUCTA Bw. Tumaini Nyamhokwa alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *