RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHI UENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KWA RAIS WA UGANDA MHE. YOWERI MUSEVENI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM MEI 20,2017

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda kiti cha jumuiya hiyo katika mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza  Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda baada ya kumkabidhi kiti cha jumuiya hiyo katika mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017

Wakuu wa nchi za Jumuiya ya afrika Mashariki wakisaini makubaliano mbalimbali yaliyofikiwa katika mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017

Sehemu ya mawaziri na viongozi wengine wakishangilia wakati Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda kiti cha jumuiya hiyo katika mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza  Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda baada ya kumkabidhi kiti cha jumuiya hiyo katika mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia katika mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *