RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWAANDALIA FUTARI WANANCHI WA MKOA WA PWANI, JUNI 21, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akichukua chakula Juni 21, 2017 katika futali aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani futari katika Ikulu ndogo ya Kibaha ambayo ilihudhuriwa pia na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry pamoja na viongozi wengine wa dini, serikali, vyama na watoto wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali vya yatima mkoani humo.

Kina mama wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaya Mhe. Asumpta Mshama wakichukua chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha ambayo ilihudhuriwa pia na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry pamoja na viongozi wengine wa dini, serikali, vyama na watoto wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali vya yatima mkoani humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa neno la shukrani Juni 21, 2017  wa waliohudhuria  futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha ambayo ilihudhuriwa pia na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry pamoja na viongozi wengine wa dini, serikali, vyama na watoto wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali vya yatima mkoani humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry  baada ya kuzungumza machache wakati wa  futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.

Kaimu Shehe Mkuu wa Mkoa wa Pwani akitoa neno la shukurani kwa futari aliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa  wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Kaimu Shehe Mkuu wa Mkoa wa Pwani   baada ya kuzungumza machache wakati wa  futari aliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa  wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha

Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry  akizungumza machache na kuomba dua baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.

Sehemu ya waalikwa wakifuatilia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry  baada ya   futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka meza hadi meza kupeana mikono na waalikwa katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mbunge wa Kibaha Mjini Mhe Sylvester Koka baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete  baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wageni wake baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Mzee Mwinshehe Mlai baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mbunge wa Kibaha Vijijini Mhe Hamoud Juma baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *