RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA MAONESHO YA 41 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU J.K. NYERERE (SABASABA) NA KUTEMBELEA MABANDA JULAI 01,2017

Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kufungua Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA)  Julai 01,2017

Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage akiongea jambo na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokwenda  kufungua Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA)  Julai 01,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kufungua Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA) Julai 01,2017

Wafanyabiashara na Mabalozi kutoka Nchi mbalimbali wakisikiliza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kufungua Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA) Julai 01,2017 

Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama ,Wafanyabiashara na Mabalozi kutoka Nchi mbalimbali wakisikiliza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kufungua Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA) Julai 01,2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akigawa Tuzo kwa washindi na wadhamini wa Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA) Julai 01,2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akigawa Tuzo kamshina wa Magereza Nchini, Generali Dkt. Juma A Malewa  baada ya kuibuka washindi kwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA) Julai 01,2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akigawa Tuzo kwa washindi na wadhamini wa Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA) Julai 01,2017

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wakati alipokuwa akitembelea Mabanda ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA) Julai 01,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembelea Mabanda ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA) Julai 01,2017 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo juu ya gari linalotumia mfumo wa gesi alipokuwa akitembelea Mabanda ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA) Julai 01,2017

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembelea Mabanda ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA) Julai 01,2017 hapa ni katika banda la chuo kikuu cha Dar es salaam akipata maelekezo ya Mtambo wa kufua umeme kutoka kwa Makamo Mkuu wa Chuo cha Dar es salaam Prof.Rwekaza  Mukandala

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Betrii  wakati alipotembelea banda la Japan kulia ni Balozi wa Japan Nchini Mh. Masaki Okada , Rais alikuwa akitembelea Mabanda ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA) Julai 01,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Japan Nchini Mh. Masaki Okada alipotembelea banda la Japani katika  Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA) Julai 01,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi alipomaliza kutembelea mabanda  Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere (SABASABA) Julai 01,2017

 

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *