RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA YA USAGARA – KISESA, PIA AFUNGUA DARAJA LA MABATINI MKOANI MWANZA OKTOBA 10, 2014

11jnvdvjnj

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya kilometa 16 kutoka Usagara hadi Kisesa mkoani Mwanza leo Oktoba 10, 2014.Rais Kikwete yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku tatu2ddfggg

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua daraja la Nyashishi lenye urefu wa mita 67 lililopo katika barabara ya Usagara Kisesa wakati alipokwenda kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara kilometa 16 ya  Kisesa hadi Usagara inayojengwa kwa kiwango cha lami Oktoba 10, 2014.d4

 

d2

Mkandarasi wa daraja la waenda kwa miguu huko Mabatini Mwanza kutoka kampuni ya advance engineering solution Ltd akitoa maelezo ya ujenzi huo kwa Mhe.Rais Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya Rais kulizindua rasmi daraja hilo Oktoba10, 2014darajaaaaaa

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua daraja la waenda kwa miguu la Mabatini Mkoani Mwanza Oktoba 10, 2014 baada ya kulifungua rasmi wapili kushoto ni Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli.d1

Muonekano wa Daraja la waenda kwa miguu liliojengwa Mabatini huko Mwanza lililozinduliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo Oktoba 10, 2014d5

Picha ya pamoja mbele ya Daraja la waenda kwa miguu liliojengwa Mabatini huko Mwanza lililozinduliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo Oktoba 10, 2014

 

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *