RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHUHUDIA RAIS WA AWAMU YA TATU BENJAMIN WILLIAM MKAPA AKIMKABIDHI WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII JINSIA, WAZEE NA WATOTO UMMY ALLY MWALIMU HATI YA UMILIKI WA NYUMBA 50 ZA WATUMISHI WA AFYA KATIKA MIKOA YA GEITA, KAGERA NA SIMIYU – CHATO MKOANI GEITA JULAI 10,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Japani Nchini Mhe. Masaharu Yoshida alipowasili katika viwanja vya Mazaina Mjini Chato Julai 10,2017 kwa ajili ya kushuhudia Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Ally Mwalimu Hati ya umiliki wa Nyumba 50 za Watumishi wa Afya katika Mikoa ya Geita, Kagera na Simiyu, Zilizojengwa na Taasisi ya Mkapa Foundation, Makabidhiano hayo yamefanyika katika kiwanja cha Mazaina Mjini Chato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akiteta jambo na Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Ally Mwalimu

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe , Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa na viongozi wa mbalimbali wa Jukwaa kuu akifuatilia Msaanii Magambo Mwinamila alipokuwa akipambisha sherehe hizo

Msaanii Magambo Mwinamila  akipambisha sherehe hizo

Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa akihutubia wakazi wa Geita wakati wa akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Ally Mwalimu Hati ya umiliki wa Nyumba 50 za Watumishi wa Afya katika Mikoa ya Geita, Kagera na Simiyu, Zilizojengwa na Taasisi ya Mkapa Foundation Makabidhiano hayo yamefanyika katika kiwanja cha Mazaina Mjini Chato Julai 10,2017

 

Umati mkubwa wa wananchi wa Geita na mji wa chato wakisikiliza hotuba ya Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa akihutubia wakati akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Ally Mwalimu Hati ya umiliki wa Nyumba 50 za Watumishi wa Afya katika Mikoa ya Geita, Kagera na Simiyu, Zilizojengwa na Taasisi ya Mkapa Foundation Makabidhiano hayo yamefanyika katika kiwanja cha Mazaina Mjini Chato Julai 10,2017

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutuba wananchi wananchi wa mkoa wa Geita na Mji wa Chata wakati wa Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Ally Mwalimu Hati ya umiliki wa Nyumba 50 za Watumishi wa Afya katika Mikoa ya Geita, Kagera na Simiyu, Zilizojengwa na Taasisi ya Mkapa Foundation Makabidhiano hayo yamefanyika katika kiwanja cha Mazaina Mjini Chato Julai 10,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa baada ya kutoa Hotuba wakati wa kukabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Ally Mwalimu Hati ya umiliki wa Nyumba 50 za Watumishi wa Afya katika Mikoa ya Geita, Kagera na Simiyu, Zilizojengwa na Taasisi ya Mkapa Foundation Makabidhiano hayo yamefanyika katika kiwanja cha Mazaina Mjini Chato Julai 10,2017

Balozi wa Japan Nchini Mhe. Masaharu Yoshida akimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipotoa Hotuba wakati Rais wa awamu ya tatu Benjamin William akibidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Ally Mwalimu Hati ya umiliki wa Nyumba 50 za Watumishi wa Afya katika Mikoa ya Geita, Kagera na Simiyu, Zilizojengwa na Taasisi ya Mkapa Foundation Makabidhiano hayo yamefanyika katika kiwanja cha Mazaina Mjini Chato Julai 10,2017

 

Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa akimkabidhi Hati za Umiliki wa nyumba 50 za Watumishi wa Afya kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katika uwanja wa michezo wa Mazaina Chato mkoani Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa mara baada ya kukabidhi nyumba hizo 50 zitakazotumika katika Sekta ya Afya katika mikoa ya Kagera, Simiyu na Geita.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa wakati Mbunge wa Chato ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani alipokuwa akihutubia wananchi wa Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa mara baada ya kumaliza ziara yake Chato mkoani Geita ambapo alikabidhi nyumba 50 zitakazotumika katika sekta ya afya katika mikoa ya Geita, Simiyu na Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mama Anna Mkapa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wakati akiwasili katika uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita

Kikundi cha ngoma za asili cha Chato kikitumbuiza katika uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita.

Balozi wa Japan hapa nchini Masaharu Yoshida akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaaban Ntarambe hati ya Kituo cha kukamua Mafuta ya Alizeti (Double Refine) kilichojengwa Chato mkoani Geita kwa Msaada wa Serikali ya Japan. PICHA NA IKULU

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *