RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI KIGOMA AKITOKEA MKOA WA KAGERA NA KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI KWENYE MIKUTANO MBALIMBALI YA HADHARA JULAI 21,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Mji wa Kakonko  Mkoa wa Kigoma Rais yupo Mkoani Kigoma kwa Ziara tatu julai 21,2017

wananchi wa Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma wakisikiliza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa ufunguzi wa Ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha lami km 50 kutoka Nyakanazi hadi Kibondo Julai 21,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikazia jambo wakati akiwahutubia wananchi wa Mji wa Kakonko Mkoa wa Kigoma Rais yupo mkoani Kigoma kwa Ziara ya siku Tatu

 

wananchi wa Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma wakisikiliza Hotuba ya Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa ufunguzi wa Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami km 50 kutoka Nyakanazi hadi Kakonko Julai 21,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali wakifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara kiwango cha lami km 50 kutoka Nyakanazi hadi Kibondo Julai 21,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi Mbalimbali serikali akikata Utepe kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara kiwango cha lami km50 kutoka Nyakanazi hadi Kakonko

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa mji Kibondo wakati akiwa safarini kutoka Ngara kuelekea Mkoani Kigoma Julai 21,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kijana ambaye ni mlemavu Mkazi wa kibondo aliposimama mjini kibondo kuwasalimia wananchi wakati akiwa safarini kutoka Ngara kuelekea Mkoani Kigoma

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mamia ya wananchi waliokuwa wameziba Barabara wakati akiwa safarini kutoka Ngara kuelekea Mkoani Kigoma

Mamia ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu.

Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mamia ya wananchi wa Mamia ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwapungia Mikono kwa Mamia ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu.

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge Kigoma Mjini Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe mara baada ya Mh Rais Kuzindua ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozimbalimbali wa mkoa wa Kigoma akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu Mkoani Kigoma,

Rais wa jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembea kwa miguu huku akiwapungia mkono wananchi waliokuwa wamefurika njiani mara baada ya Uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu Mkoani Kigoma, PICHA NA IKULU

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *