RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA MIRADI MINNE YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI WA MJI WA TABORA JULAI 24,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep Arya, Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na Viongozi wengine wa Mkoa wa Tabora   wakikata utepe kuashiria Ufunguzi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Mji ya Tabora,Igunga na Nzega Julai 24,2017 Mjini Tabora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep Arya,Wakiteta Jambo mara Baada ya Rais Kuweka Jiwe la Msingi na Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Mji wa Tabora,Igunga na Nzega Julai 24,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana Mkono na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa Mara Baada ya Ufunguzi wa Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora Julai 24,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akipata maelezo ya Mradi wa Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora toka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa Uwanja huo Mhandisi Neema Joseph kushoto kwake ni Waziri wa Ujenzi  Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa Julai 24,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akifungua kitambaa kufungua Rasmi Barabara ya Tabora –Yahua yenye Urefu wa Kilometa 85 akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa na Viongozi Wengine Wa Mkoa wa Tabora Julai 24,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe kwenye Ufunguzi wa Barabara ya Tabora -Puge -Ngeza yenye Urefu wa Kilometa 114.9 akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa na Viongozi Wengine Wa Mkoa wa Tabora Julai 24,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wananchi mara baada ya  kufungua Rasmi Barabara ya Tabora –Yahua yenye Urefu wa Kilometa 85 akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa na Viongozi Wengine Wa Mkoa wa Tabora Julai 24,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia mamia ya wananchi wa Mkoa wa Tabora Kwenye Uwanja wa Mpira wa Alli Hassani Mwinyi Mjini Tabora Julai 23,2917.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *