RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU DKT WILLIAM SHIJA LEO JIJINI DAR ES SALAAM OKTOBA 12, 2014

1

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo
cha msiba wa  Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga
leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam

2 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili
wa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam

3 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Mama Getrude Shija, Mjane
wa  Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo
Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam

4

Rais Kikwete akipeana mikono na Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha
Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) baada ya kutoa salamu za
rambirambi kutoka makao makuu ya CPA jijini London.

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *