RAIS DKT.JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASALI KATIKA KANISA LA WASABATO MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM SEPTEMBA 02,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amepiga magoti na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Ushirika wa Magomeni Mwembechai katika Ibada ya Jumamosi kanisani hapo jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisoma neno pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakati wa Ibada ya jumamosi iliyofanyika katika kanisa la Waadventisti Wasabato Magomeni jijini Dar es salaam.septemba 02,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini wa Kanisa la Waadventista la Wasabato Ushirika wa Magomeni Mwembechai kabla ya kuendesha Harambee ya Ujenzi wa kanisa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amepiga magoti pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakati akiombewa na Maaskofu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni, maombezi yaliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania Marc Walwa Malekana(wakwanza kushoto)02 septemba 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakikabidhi mifuko 400 ya Saruji itakayotumika katika ujenzi wa Kanisa la Wasabato Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam.02 septemba 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mama Navana Cable aliyeambatana na mtoto wake Rebecca Cable ambao familia yao imeahidi kumalizia ujenzi wa Kanisa la Waadventista Wasabato mara baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuendesha Harambee ya Papo kwa papo Kanisani hapo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Magazeti ya Serikali James Yonazi wakati wa kuchangia Harambee katika kanisa la Wasabato Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam.02 septemba 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri mstaafu wa awamu ya nne Mhe.Steven Masatu Wasira wakati wa kuchangia Harambee katika kanisa la Wasabato Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam.02 septemba 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Dr.Hosea  wakati wa kuchangia Harambee katika kanisa la Wasabato Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam.02 septemba 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia mtoto mara baada ya ibada katika kanisa la Wasabato Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam.02 septemba 2017.

Baadhi ya Waumini wakiwa katika ibada kama wanavyoonekana pichani katika kanisa la Wasabato Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam.02 septemba 2017.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *