MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM- Taifa) NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE: DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM-TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM SEPTEMBA 30,2017.

 

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) kabla ya kufungua mkutano huo jijini Dar es Salaam.Septemba 30,2017

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM kwa upande wa Tanzania Bara Rodrick Mpogolo kabla ya kufungua mkutano huo wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) jijini Dar es Salaam. Septemba 30,2017.

 

 

 

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) wakipiga makofi mara baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli kuwasili ukumbini hapo jijini Dar es Salaam Septemba 30,2017.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli akipiga makofi pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dar es Salaam. Septemba 30,2017

 

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiendelea na Kikao jijini Dar es Salaam. Septemba 30,2017.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *