RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA SHEREHE ZA KUZIMA MWENGE,KUMBUKUMBU YA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE NA WIKI YA VIJANA ZANZIBAR OKTOBA 14,2017

 

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikvishwa skafu baada ya kuwasili kuongoza sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akielekea kwenye jukwaa kwaaajili ya salamu ya heshima mara baada ya kuveshwa skafu katika sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipewa salamu ya heshima kutoka kwa watoto wa halaiki baada ya kuwasili kuongoza sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar baada ya kuwasili kuongoza sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mwakilishi wa familia ya Mwalimu, Mhe. Makongoro Nyerere wakati akiwasili kwenye sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt. Ali Mohamed Shein wakiteta jambo wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt. Ali Mohamed Shein wakifurahia maonyesho ya halaiki kutoka kwa watoto wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017.

 

 

Watoto wa halaiki wakitengeneza mfano wa maumbo mbalimbali yenye kuleta ujumbe na kufurahisha wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017.

 

 

Vijana wa sarakasi na halaiki wakitengeneza mfano wa maumbo mbalimbali yenye kuleta ujumbe na kufurahisha mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017.

Vijana shupavu  sita wakijiandaa kumkabidhi Mwenge Mhe,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli wakati wa  sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Magharibi Zanzibar Oktoba 14, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea Mwenge wa uhuru wakati wa  sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Magharibi Zanzibar Oktoba 14, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa ameshika Mwenge wa uhuru wakati wa  sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea taarifa ya Mwenge wa uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa mara baada ya kumkabidhi  wakati wa  sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017.

Vijana shupavu sita waliokimbiza mwenge wa Uhuru mwaka 2017 wakielekea jukwaani mara baada ya kumkabidhi mwenge kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika sherehe za kilele  cha mwenge mjini Magharibi Zanzibar Oktoba 14,2017.

Watumbuizaji wa ngoma ya Msewe wakitumbuiza mbele ya mhe,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika sherehe za kilele  cha mwenge mjini Magharibi Zanzibar Oktoba 14,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi baada ya kuhitimishwa kwa sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na wakimbiza mwenge wakati wa  sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wakimbiza mwenge wakati wa  sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga wananchi baada ya kuongoza sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watoto wa halaiki baada ya kuongoza sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga wananchi baada ya kuongoza sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Baadhi ya  Viongozi wa Zanzibar baada ya kuongoza sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar Oktoba 14, 2017.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *