RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEMTEUA PROF. FROLENS DOMINIC ANDREW MAKINYIKA LUOGA KUWA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) NA KUWATUNUKU VYETI VYA SHUKRANI WAJUMBE WA KAMATI ZA MAKINIKIA,IKULU JIJINI DAR ES SALAAM OKTOBA 23,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku  Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi  cheti cha pongezi na shukrani  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku cheti cha pongezi na shukrani mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Uchunguzi wa Makinikia Profesa Osolo katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku  Mwenyekiti wa Kamati ya Kwanza ya Makinikia Profesa Abdulkarim Mruma     cheti cha pongezi na shukrani  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Katibu wa Bunge Mhe. Stephen Kagaigai baada ya kumtunuku Spika Job Ndugai (kupitia kwa mkewe Mama Fatuma Ndugai) cheti cha pongezi na shukrani  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Profesa Florens Luoga cheti cha pongezi na shukrani kabla ya kumteua kuwa Gavana mpya wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia baada ya kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu baada kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Mhe. Mussa Azzan Zungu, Mwenyekiti wa kamati Maalumu ya Bunge ya kuchunguza  mfumo bora wa uchimbaji, usimamizi, umiliki na udhibiti wa biashara ya Madini ya Almasi   wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini  katika hafla ya kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini  iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry  Ally akiongea katika hafla ya kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini  iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akiongea katika hafla ya kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini  iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe,Dkt John Pombe Magufuli akipeana mkono na  Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba katika hafla ya kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini  iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe,Dkt John Pombe Magufuli akipeana mkono na mwenyekiti wa UDP Mhe John Cheyokatika hafla ya kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini  iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi akiongea katika hafla ya kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini  iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimkaribisha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi na wageni wengine kupata chakula cha mchana baada ya hafla ya kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini  iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

 

Gavana wa Benki Kuu mteule Profesa Florens Luoga mara baada ya kuteuliwa na mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika hafla ya kutunikiwa vyeti vya pongezi na shukrani wajumbe wa kamati maalumu za madini,hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es salaam oktoba 23,2017.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *