MWENYEKITI WA CCM TAIFA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CHAMA CHA MAPINDUZI NEC JIJINI DAR ES SALAAAM NOVEMBA 21,2017.

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akifungua Mkutano mkuu wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC) uliofanyika jijini Dar es salaam Novemba 21,2017.

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano mkuu wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC) uliofanyika jijini Dar es salaam Novemba 21,2017.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt Ally Mohammed Shein akimpa mkono wa karibu aliyekuwa mwanachama mwandamizi wa ACT wazalendo Bi.Edna Sunga baada ya kuomba kurudi katika chama cha mapinduzi katika  Mkutano mkuu wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC) uliofanyika jijini Dar es salaam Novemba 21,2017.

 

Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA Bw.Laurence Kego Masha akiomba kurejea chama cha mapinduzi (CCM) katika  Mkutano mkuu wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC) uliofanyika jijini Dar es salaam Novemba 21,2017.

Aliyekuwa mwanachama wa ACT-wazalendo Bw.Albart Msando akiomba kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM) katika  Mkutano mkuu wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC) uliofanyika jijini Dar es salaam Novemba 21,2017.

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimpa mkono wa karibu aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA na mwenyekiti wa BAVICHA Taifa  Bw.Patrobas Ktambi baada ya kuomba kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM) katika  Mkutano mkuu wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC) uliofanyika jijini Dar es salaam Novemba 21,2017.

Baadhi ya wanachama walioomba  kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM) katika  Mkutano mkuu wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC) uliofanyika jijini Dar es salaam Novemba 21,2017.

Wanachama wa chama cha mapinduzi (CCM) wakinyoosha mikono kuashilia kukubali kumrejesha Bi.Sophia Simba aliyekuwa amefukuzwa uanachama katika  Mkutano mkuu wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC) uliofanyika jijini Dar es salaam Novemba 21,2017.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *