RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE,DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR DKT.ALLY MOHAMED SHEIN NA BALOZI WA JAPANI NCHINI BALOZI MASAHARU YOSHINDA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM NOVEMBA 22,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dkt.Ally Mohamed Shein alipokutana na kufanya mazungumzo nae Ikulu Jijini Dar es salaam Novemba 22,2017. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dkt.Ally Mohamed Shein alipokutana naye Ikulu Jijini Dar es salaam Novemba 22,2017. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dkt.Ally Mohamed Shein mara baada ya kufanya mazungumzo  Ikulu Jijini Dar es salaam Novemba 22,2017. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Japani nchini Tanzania Mhe,Balozi Masaharu Yoshinda mara baada ya kufanya mazungumzo nae Ikulu Jijini Dar es salaam Novemba 22,2017. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Japani nchini Tanzania Mhe,Balozi Masaharu Yoshinda mara baada ya kufanya mazungumzo nae Ikulu Jijini Dar es salaam Novemba 22,2017. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *