RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMALIZA ZIARA YA SIKU 3 NCHINI UGANDA NOVEMBA 11,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye gwaride la Kimya lililoandaliwa kwa heshma na Jeshi la Uganda mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini Uganda na kurejea nchini Novemba 11,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakifurahia ngoma ya asili iliyokuwa ikipigwa na watoto wa nchini Uganda katika eneo la mpakani la Mutukula kabla ya kurejea nchini Novemba 11,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mpakani mwa Tanzania na Uganda (Mutukula) kuhusu ujenzi wa barabara ya Kutoka Miziro hadi Mutukula bila kupitia wilayani Misenyi. Pembeni yake ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akisikiliza Novemba 11,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mpakani Mutukula upande wa Tanzania mara baada ya kuwasili akitokea Uganda Novemba 11,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wakuu wa Majeshi ya Uganda mara baada ya kumaliza ziara yake nchini Uganda Novemba 11,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli  akionyeshwa mji wa Masaka Uganda na mwenyeji wake Mheshimiwa Yoweri Museven kabla  ya kumaliza ziara yake nchini Uganda Novemba 11,2017.

Baadhi ya wananchi wa Mpakani mwa Tanzania na Uganda (Mutukula)  wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili akitokea Nchini Uganda alipokuwa na ziara ya siku tatu.

Mwananchi wa Mpakani mwa Tanzania na Uganda (Mutukula)akiwa juu ya nguzo ya umeme ili kumuona na kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili akitokea Nchini Uganda alipokuwa na ziara ya siku tatu.

Baadhi ya wananchi wa Mpakani mwa Tanzania na Uganda (Mutukula)  wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili akitokea Nchini Uganda alipokuwa na ziara ya siku tatu.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *