RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ATEMBELEA MELI YA HOSPITALI YA WACHINA NA KUFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM NOVEMBA 26,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akikagua gwaride lililoandaliwa na Jeshi la wanamaji na Madaktari katika meli kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiangalia kitanda cha mgonjwa kilichopo kwenye Helikopta katika meli ya matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika meli ya matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika meli ya matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiangalia mashine ya uchunguzi katika meli ya matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiangalia mashine ya X-ray katika meli ya matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akikagua mabomba ya sindano katika meli ya matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na uongozi wa madaktari kutoka China wakiongozwa Balozi wa China Wang ke  alipotembelea katika meli ya matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.

Rais John Pombe Joseph Magufuli akitelemka kutoka katika Meli ya Hospitali ya China alipoitembelea Novemba 26, 2017  kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.

Balozi wa China nchini  Wang ke  akizungumza katika hafla maalumu ya kuwaaga timu ya madaktari wa matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania mbele ya Rais wa Jamhuri nya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli  Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akimpongeza  Balozi wa China Wang ke  kwa hotuba yake katika hafla ya kuwaaga madaktari na wataalamu katika meli ya matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia Watanzania na madaktari kutoka China wakiongozwa Balozi wa China Wang ke  alipotembelea katika meli ya matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli  alipotembelea katika meli ya matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi na wafanyakazi wa bandali alipotembelea katika meli ya matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Balozi wa China Wang ke(watatu kutoka kulia waliokaa),Mama Janet Magufuli(mke wa Rais),mkuu wa majeshi ya ulinzi  General Vernance Mabeyo,Naibu waziri wa Afya Dkt.Faustine Ndungulile,kamanda Gulain Baillin pamoja na madaktari   alipotembelea katika meli ya matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Naibu waziri wa Afya Dkt.Faustine Ndungulile  alipotembelea katika meli ya matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.

Magari ya wagonjwa 53 yaliyofichwa katika kona moja ya Bandari ya Dar es salaam huku wamiliki wake wakiwa hawajulikani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo toka viongozi wa Mamlaka ya Bandari, Jeshi la Polisi na TRA kuhusiana na magari ya wagonjwa 53 yaliyofichwa katika kona moja ya Bandari ya Dar es salaam huku wamiliki wake wakiwa hawajulikani alipofanya ziara ya kushtukiza Novemba 26, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua sehemu ya magari zaidi ya 6000 yaliyopo bandari ya Dar es salaam mengine yakiwa hapo kwa miaka zaidi ya kumi bila kuchukuliwa na wenye nayo alipofanya ziara ya kushtukiza Novemba 26, 2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua sehemu ya magari zaidi ya 6000 yaliyopo bandari ya Dar es salaam mengine yakiwa hapo kwa miaka zaidi ya kumi bila kuchukuliwa na wenye nayo alipofanya ziara ya kushtukiza Novemba 26, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo toka viongozi wa Mamlaka ya Bandari, Jeshi la Polisi na TRA kuhusiana na magari ya wagonjwa 53 yaliyofichwa katika kona moja ya Bandari ya Dar es salaam huku wamiliki wake wakiwa hawajulikani alipofanya ziara ya kushtukiza Novemba 26, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitoa maelekezo kuhusu magari zaidi ya 50 ya Jeshi la Polisi yaliyopo bandarini toka mwaka 2015 kwa sababu ya kutolipiwa  ushuru alipofanya ziara ya kushtukiza Novemba 26, 2017

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *