RAIS DKT. MAGUFULI ATIA SAINI NYARAKA ZA MSAMAHA WA WAFUNGWA 63 AMBAPO 61 WALIKUWA WAMEHUKUMIWA KUNYONGWA NA MAJINA MAWILI (2) YA WAFUNGWA WALIOKUWA WAMEHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA NA KUFUNGUA MKUTANO MKUU WA 9 WA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) MKOANI DODOMA.DISEMBA 10,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini Nyaraka zenye majina ya Wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa pamoja na majina mawili(2) ya Familia ya Nguza Viking(Babu Seya), na Johnson Nguza waliopata msahama wa Rais, katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.Disemba 10,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini Nyaraka zenye majina ya Wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa pamoja na majina mawili ya Familia ya Nguza Viking (Babu Seya), na Johnson Nguza waliopata msahama wa Rais, katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Kulia ni Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa akishuhudia Disemba 10,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiyahakiki kwa kuyasoma majina ya Wafungwa 63 waliopata msahama wa Rais kabla ya kutia saini Nyaraka hizo za Msamaha katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Kulia ni Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa akishuhudia Disemba 10,2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhakiki nyaraka hizo za Msamaha wa Rais katika Ikulu ya Chamwino mkoni Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ubora wa kiatu cha Mrakibu Msaidizi wa Magereza Melkior Komba, Katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Viatu hivyo vimetengenezwa na kiwanda cha Jeshi la Magereza Karanga kilichopo Moshi Mkoani Kilimanjaro Disemba 10,2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM ambae pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu mkuu wa CCM Komredi Abdurahaman Kinana   alipowasili katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere uliopo chuo cha Mipango mjini Dodoma kuhudhuria ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 UVCCM  Disemba 10, 2017.

 Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM ambae pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiingia  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere uliopo chuo cha Mipango mjini Dodoma kuhudhuria ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 UVCCM  Disemba 10, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM ambae pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe,Dkt.Ally Mohammed Shein alipoingia katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere uliopo chuo cha Mipango mjini Dodoma kuhudhuria ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 UVCCM  Disemba 10, 2017.

Vijana wa chipukizi wakiimba wimbo maalumu mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM ambae pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere uliopo chuo cha Mipango mjini Dodoma kuhudhuria ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 UVCCM  Disemba 10, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM ambae pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza meza kuu kupiga makofi wakati vijana wa chipukizi wakiiimba wimbo wa uzalendo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere uliopo chuo cha Mipango mjini Dodoma kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 UVCCM  Disemba 10, 2017.

 

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM ambae pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Umoja wa Vijana wa chama cha mapinduzi katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere uliopo chuo cha Mipango mjini Dodoma kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 UVCCM  Disemba 10, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM ambae pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma ya band ya TOT  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere uliopo chuo cha Mipango mjini Dodoma kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 UVCCM  Disemba 10, 2017.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *