RAIS KIKWETE AFANYA ZIARA NYINGINE KWENYE MAONESHO YA SABASABA JULAI 6, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ambao ni sehemu ya maonesho katika banda la JWTZ kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda. Makomandoo hao wanashinda wamesimama hivyo kutwa nzima bila kutikisika wala kupepesa macho na kuwa kivutio cha aina yake.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ambao ni sehemu ya maonesho katika banda la JWTZ kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda. Makomandoo hao wanashinda wamesimama hivyo kutwa nzima bila kutikisika wala kupepesa macho na kuwa kivutio cha aina yake.

1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi toka kwa Bi. Jacqueline M. Maleko aliyeteuliuwa kuwa mkurugenzi mkuu wa TANTRADE  alipomaliza kutembelea  maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena  Julai 6, 2014

2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi na  wafanyakazi katika banda la JWTZ   alipomaliza kutembelea  maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena  Julai 6, 2014, Banda la jeshi la wananchi JWTZ ndio lilikuwa la mwisho kutembelewa na Mhe.Rais

scaut

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na vijana wa skauti alipomaliza kutembelea  maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena  Julai 6, 2014

 

zadsd

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo alipotembelea banda la PPF kwenye   maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena Julai 6, 2014  

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *