Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa IGP Saimon Sirro kuhusu ujenzi wa kituo maalumu ya Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha ambacho kimejengwa na wadau wa utalii kwenye sherehe zilizofanyika.Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya kupata maelezo kutoka kwa IGP Saimon Sirro kuhusu ujenzi wa kituo maalumu ya Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha ambacho kimejengwa na wadau wa utalii kwenye sherehe zilizofanyika.Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kuhusu ujenzi wa kituo maalumu ya Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha ambacho kimejengwa na wadau wa utalii kwenye sherehe zilizofanyika.Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na wadau waliosaidia ujenzi wa kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwenye sherehe zilizofanyika.Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Saimon Sirro mara baada ya kufungua kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwenye sherehe zilizofanyika.Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mmoja wa wadau waliosaidia ujenzi wa kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwenye sherehe zilizofanyika .Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Ekarist Lazaro mara baada ya kufungua kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwenye sherehe zilizofanyika. Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe akiwa na viongozi wengine pamoja na wadau waliosaidia ujenzi wa kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwenye sherehe zilizofanyika. Aprili 7, 2018 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka sahihi katika kitabu cha kumbukumbu mara baada ya kufungua kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwenye sherehe zilizofanyika leo Aprili 7, 2018.
Sehemu ya nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha .Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro wakifunua pazia kuashiria kufunguliwa rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha .Aprili 7, 2018 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na IGP Simon Sirro baada ya kuzindua rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha.Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaidiwa na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha.Aprili 7, 2018 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kufunguliwa rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha.Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi na IGP Saimon Sirro mara baada ya kufunguliwa rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha.Aprili 7, 2018 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na baadhi ya wanafamilia wa Jeshi la Polisi baada ya kuzindua rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha. Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipokea salamu ya heshima baada ya kuwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride lililoandaliwa na askari polisi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe. Calist Lazaro alipowasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamishna wa Polisi Jamii nchini CP Mussa Ally Mussa alipowasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipewa jarida la Jeshi la Polisi na IGP Simon Sirro katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Aprili 7, 2018.
Gwaride la heshima kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume likipita mbele ya jukwaa kuu.Aprili 7, 2018.
Bendi ya Jeshi la Polisi katika kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume likitoa heshima mbele ya jukwaa kuu.Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi jambo na IGP Simon Sirro katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha wakati wa kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Aprili 7, 2018.
Kikosi cha pikipiki cha Jeshi la Polisi kikionesha namna kinavyopambana na wahalifu wanaotumia usafiri huo katika kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume likitoa heshima mbele ya jukwaa kuu. Aprili 7, 2018.
Mmoja wa “wahalifu” akiwa anajaribu kujihami wakati akiandamwa na kikosi cha pikipiki
Askari wa Jeshi la Polisi wa kikosi maalumu cha kutuliza ghasia na maandamano wakionesha namna kinavyoweza kupambana na maadui katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018 .
Askari wa Jeshi la Polisi wa kikosi maalumu cha kulinda viongozi wakionesha namna kinavyoweza kupambana na maadui katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Aprili 7, 2018 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli na IGP Saimon Sirro wakiangalia maonesho ya vitendo ya vikosi vya kupambana na ghasia na kulinda viongozi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume leo Aprili 7, 2018.
Maonesho ya vitendo ya vikosi vya polisi katika kukabilana na waalifu wakishuka kwenye Helkopta katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine meza kuu wakioneshwa na Kamishina wa Operesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi (CP) Nsato Marijani nakala za matokeo ya uchunguzi wa shambulizi la bomu wakati wa maonesho ya mapambano na magaidi yaliyofanywa na vikosi maalumu vya jeshi la polisi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine meza kuu wakipiga makofi wakati wa maonesho ya vitendo ya vikosi vya kupambana na ghasia na kulinda viongozi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Aprili 7, 2018.
Kwaya ya Chuo cha Mafunzo cha Jeshi la Polisi kikitumbuiza katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Aprili 7, 2018
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mama Janeth Magufuli akiwasalimia wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.
Wadau walichangia ujenzi wa kituo cha polisi na nyumba za makazi ya polisi wakifurahi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume leo Aprili 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza IGP mstaafu Omary Mahita katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na IGP mstaafu Omary Mahita katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza IGP mstaafu Said Mwema katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza IGP Saimon Sirro akitoa hotuba katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Viongzoi na wananchi kusimama kwaajili kumuombea Hayati Abeid Aman Karume katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.
Viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma ya bendi ya jeshi la polisi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya miaka 46 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.Aprili 7, 2018.