RAIS KATIKA MAONESHO YA SABASABA JULAI 6,2014

rewe

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PPF kwenye   maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena Julai 6, 2014  

aadsdws

Rais Jakaya Kikwete akiangalia samani kwenye banda la JKT  kwenye   maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena Julai 6,

addf

 

354r

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TRA  kwenye   maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena Julai 6, 2014

TTCL

 

T

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TTCL  kwenye   maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena Julai 6, 2014  

34

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la Chuo Kikuu cha Ardhi   kwenye  maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena Julai 6, 2014

9

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea banda la Fursa sawa kwa Wote inayoongozwa na mke wa Rais wa Awamu ya Pili, Mama Anna Mkapa, kwenye   maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena Juai 6,

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *