RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWAONGOZA MAELFU YA WATANZANIA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZILIZOFANYIKA JIJINI DODOMA.APRILI 26,2018

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakati akipigiwa wimbo wa Taifa kabla ya kwenda kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa na vikosi mbalimbali vya Majeshi ya Tanzania katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa na vikosi mbalimbali vya Majeshi ya Tanzania katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshma katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kuwasili katika jukwa kuu kwa ajili ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Vikosi mbalimbali vya Jeshi la Wananchi, Magereza na Polisi vikipita mbele kutoa heshma katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

 

 

Vikosi mbalimbali vya Jeshi la Wananchi, Magereza na Polisi vikipita kutoa heshma mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli (haonekani pichani )katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

 

Kikosi cha Makomando wa (JWTZ) kikipita na kutoa heshma mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli (haonekani pichani )katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

Mmoja wa Makomando wa JWTZ akitoa Heshma kwa kupiga Saluti wakati akipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli (haonekani pichani )katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

 

 

Makomando wa JWTZ akiwasili ndani ya uwanja wa jamhuri kwa kutumia kamba katika maadhimisho hayo ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Aprili 26,2018

 

Mmoja wa Makomando wa JWTZ akionesha umahiri wake wa kuvuta gari kwa kutumia meno katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa Pamoja na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, wakati kikundi cha Halaiki kilipokuwa kikipita mbele kutoa heshma katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

Kikundi cha bendi kikionyesha picha za viongozi Wasasa na Waasisi walipokuwa wakitumbuiza katika maadhimisho hayo ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Aprili 26,2018.

Kikundi cha bendi kikipita mbele kutoa heshima huku kikionyesha picha za viongozi Wasasa na Waasisi walipokuwa wakitumbuiza katika maadhimisho hayo ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Aprili 26,2018.

 

 

Askari wa Jeshi la Magereza wakionesha umahiri wa kupambana na vikwazo mbalimbali katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, Spika wa Bunge Job Ndugai wakati kikundi cha vijana wa Halaiki walipokuwa wakipita mbele kutoa heshma.Aprili 26,2018.

kikundi cha vijana wa Halaiki walipokuwa wakitumbuiza katika Maadhimisho ya Miaka 54 Ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

Msanii Cosmas Chidumule alipokuwa akitumbuiza wimbo maalumu wa Dodoma katika Maadhimisho ya Miaka 54 Ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

Rais wa awamu ya tatu Mhe.Benjamin Mkapa akipiga saluti mara baada ya kutambulishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli katika Maadhimisho ya Miaka 54 Ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

 

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiapongezwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina ambaye alihudhuria maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiapongezwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina ambaye alihudhuria maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya kuwasili mjini Dodoma kwa ajili ya mazungumzo.Aprili 26,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina ambaye aliambatana na ujumbe wake mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika mjini Dodoma.Aprili 26,2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *