RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA DODOMA-BABATI YENYE UREFU WA KM 251,KATIKA ENEO LA BICHA KONDOA .APRILI 27,2018

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina, Balozi wa Japan hapa nchini Masaharu Yoshida kuashiria ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami, Kondoa mkoani Dodoma. Wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli , Spika wa Bunge Job Ndugai, Wabunge pamoja na viongozi wengine wa Serikali.Aprili 27,2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mikono na kuwanyanyua juu, Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina kushoto na Balozi wa Japan hapa nchini Masaharu Yoshida mara baada ya wote kwa pamoja kukata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251 katika sherehe zilizofanyika Bicha Kondoa mkoani Dodoma.Aprili 27,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina kushoto na Balozi wa Japan hapa nchini Masaharu Yoshida pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Pro. Makame Mbarawa kuashiria ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251 katika sherehe zilizofanyika Bicha Kondoa mkoani Dodoma.Aprili 27,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Chemba Juma Nkamia mara baada ya kufungua barabara ya Dodoma-Babati km 251 katika sherehe zilizofanyika Bicha Kondoa mkoani Dodoma. Aprili 27,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya kufungua barabara ya Dodoma-Babati km 251 katika sherehe zilizofanyika Bicha Kondoa mkoani Dodoma. Aprili 27,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi waliojipanga kando kando ya barabara ya Dodoma-Babati mara baada ya kuifungua barabara hiyo.Aprili 27,2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina wakati wa sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251.Aprili 27,2018.

Kikundi cha kwaya cha JKT Makutupora kikitumbuiza katika sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251 zilizofanyika Kondoa mkoani Dodoma. Aprili 27,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wakati akiwasili Kondoa kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati.Aprili 27,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama wakati akiwasili Kondoa kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati.Aprili 27,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Akinwumi Adesina alipowasili kwenye sherehe za kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa.Aprili 27, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mshariki Dkt. Augustine Mahiga  alipowasili kwenye sherehe za kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa.Aprili 27, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251, Kondoa mkoani Dodoma.Aprili 27,2018.

 

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi za jadi toka kwa wazee wa Kondoa wakati wa sherehe za ufunguzi wa  barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa.Aprili 27, 2018.

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Akinwumi Adesina akipewa zawadi na wazee wa Kondoa baada ya ufunguzi wa  barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa.Aprili 27, 2018.

Balozi wa Japani nchini Tanzania Mhe.  Masaharu Yoshida akipewa zawadi na wazee wa Kondoa  baada ya ufunguzi wa  barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa.Aprili 27, 2018

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na wananchi wa vyama mbalimbali vya siasa waliohamia CCM  baada ya sherehe za kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa. Aprili 27, 2018

Sehemu ya barabara ya Dodoma-Babati yenye urefu wa KM 251 iliyofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa. Aprili 27, 2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *