RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAKAZI WA VEYURA JIJINI DODOMA.APRILI 27,2018

Wananchi wa Veyura wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kusimama kuwasalimia akitokea Bicha Kondoa mkoani Dodoma kufungua barabara ya Dodoma-Babati km 251 .Aprili 27,2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Veyura mara baada ya kusimama kuwasalimia akitokea Bicha Kondoa mkoani Dodoma kufungua barabara ya Dodoma-Babati km 251 .Aprili 27,2018.

 

Wanafunzi wa shule ya msingi Veyura pamoja na wananchi wa Veyura wakimsikiliza  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kusimama kuwasalimia akitokea Bicha Kondoa mkoani Dodoma kufungua barabara ya Dodoma-Babati km 251 .Aprili 27,2018.

Wanafunzi wa shule ya msingi Veyura pamoja na wananchi wa Veyura wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kusimama kuwasalimia akitokea Bicha Kondoa mkoani Dodoma kufungua barabara ya Dodoma-Babati km 251 .Aprili 27,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuagiza kaimu Mkuu wa Wilaya ya Dodoma kuhusu Ujenzi wa madarasa ya shule ya msingi Veyura aliposimama kuwasalimia akitokea Bicha Kondoa mkoani Dodoma kufungua barabara ya Dodoma-Babati km 251 .Aprili 27,2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *