RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA KITUO CHA MABASI CHA KISASA CHA MSAMVU MKOANI MOROGORO.MEI 6,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliomsimamisha njiani akitokea Ifakara akielekea Morogoro mjini kwenye uzinduzi wa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli alikposimama kuzungumza nao akitokea Ifakara akielekea Morogoro mjini kwenye uzinduzi wa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana  na Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama alipowasili kwenye uzinduzi wa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana  na viongozi wa dini kabla ya uzinduzi wa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipeana mkono na Mbunge wa Morogoro mjini Mhe.Abdulaziz Abood katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipeana mkono na Mbunge wa Morogoro kusini Mhe.Prosper Mbena katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janet Magufuli wakiwaaga viongozi mbalimbali Serikali,chama na dini wakifunua kitambaa kuashiria kuzindua rasmi kituo cha kisasa cha mabasi cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi kituo cha kisasa cha mabasi cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janet Magufuli wakiwa katika picha ya pamoja na  viongozi mbalimbali wa Serikali,chama na dini mara baada ya kuzindua rasmi kituo cha kisasa cha mabasi cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janet Magufuli wakiwaaga viongozi mbalimbali wa chama na dini mara baada ya kuzindua rasmi kituo cha kisasa cha mabasi cha Msamvu Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

 

Muonekano wa Stendi mpya na ya kisasa ya Msamvu iliyozinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli, Mkoani Morogoro.Mei 6,2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *