RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ALIPOKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA ASKOFU MKUU MTEULE WA KANISA LA ANGLIKANA TANZANIA MAIMBO MNDOLWA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu Mkuu Mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa kabla ya kwenda kusimikwa rasmi kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Askofu Mkuu Mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Askofu Mkuu mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Askofu Mkuu Mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa aliyeambatana na mke wake Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya kwenda Dodoma kusimikwa rasmi kuwa Askofu Mkuu wa Saba wa Kanisa hilo nchini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *