Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Katibu mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.Mei 27,2018.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.Mei 27,2018.