RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AAGANA NA MGENI WAKE RAIS WA ZIMBABWE EMMERSON MNANGAGWA ALIYEKUWA NA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI.JUNI 29,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kuagana nae.Juni 28,2018.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akipunga mkono wa kwaheri kwa Viongozi na wananchi waliofika katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kumuaga mara baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili.Juni 28,2018.

 

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akiagana na askari katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,mara baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili.Juni 28,2018.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akiagana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha mapinduzi CCM Dkt.Edmund Mndolwa  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili.Juni 28,2018.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akiagana na wanachama wa Chama cha mapinduzi CCM  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili.Juni 28,2018.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisale Makoli katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara yake rasmiya siku mbili.Juni 28,2018.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara yake rasmiya siku mbili.Juni 28,2018.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akiagana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Saimon Sirro katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili.Juni 28,2018.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili.Juni 28,2018.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akiagana na Viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara yake rasmiya siku mbili.Juni 28,2018.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili.Juni 28,2018.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akiagana na Naibu waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt.Suzan Kolimba katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili.Juni 28,2018.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akiagana na Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Paramagamba John Kabudi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara yake rasmiya siku mbili.Juni 28,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili.Juni 28,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipunga mkono na Waziri wa Katiba na sheria Profesa Paramagamba Kabudi kumuaga Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili.Juni 28,2018.

Gwaide maalumu likiwa imara wakati ndege iliyombeba Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ikiondoka katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili.Juni 28,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na wafanyakazi wa uwanja wa uwanja katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya  Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa  kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili.Juni 28,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na kuzungumza na askari wa Pikipiki katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya  Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa  kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili.Juni 28,2018.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *