RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULU NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WATOA POLE KWA RAIS MSTAAFU DKT.JAKAYA KIKWETE KWA KUFIWA NA BABA MZAZI WA MKEWE MAMA SALMA KIKWETE.JIJINI DAR ES SALAAM.JULAI 21,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipofika kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa mkewe Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam.Julai 21, 201

Mama Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipofika kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa mkewe Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam. Julai 21, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpka pole mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama salma Kikwete, kwa kufiwa na baba yake mzazi Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam.Julai 21, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Janeth Magufuli pamoja na Mama salma Kikwete alipokwenda kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa Mama Salima Kikwete Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam.Julai 21, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipokwenda kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa Mama Salima Kikwete Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam.Julai 21, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete na wanafamilia wakiomba dua walipofika kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa mkewe Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam.Julai 21, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete na wanafamilia wakiomba dua walipofika kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa mkewe Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam.Julai 21, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na wanafamilia wakiomba dua walipofika kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa mkewe Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam.Julai 21, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli wakiagana na mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Mama Salma Kikwete baada da ya kutoa pole kwa kufiwa na baba yake mzazi  Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam.Julai 21, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na ndugu wa  Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete baada da ya kutoa pole kwa kufiwa na baba yake mzazi  wa Mama Salma, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam . Julai 21, 2018

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na ndugu wa  Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete baada da ya kutoa pole kwa kufiwa na baba yake mzazi  wa Mama Salma, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam .Julai 21, 2018

Vijana wa madrassa na waalimu wao wakimwangalia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli wakisindikizwa na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete baada  ya kutoa pole kwa kufiwa na baba yake mzazi  Mama Salma, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam. Julai 21, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli wakisindikizwa na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete baada ya kutoa pole kwa kufiwa na baba yake mzazi  Mama Salma, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam .Julai 21, 2018

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *