RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI IKULU,AGOSTI 6,2018 DAR ES SALAAM

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na balozi wa Canada  nchini aliyemaliza muda wake Mhe. Ian Myles walipokutana Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 6, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na balozi wa Ubelgiji nchini aliyemaliza muda wake Mhe.  Paul Cartier walipokutana Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 6, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na balozi wa Ubelgiji nchini aliyemaliza muda wake Mhe.  Paul Cartier walipokutana Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 6, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na balozi wa Ubelgiji nchini aliyemaliza muda wake Mhe.  Paul Cartier walipokutana Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 6, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa China Mhe. Wang Ke walipokutana kwa mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 6, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa China Mhe. Wang Ke walipokutana kwa mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 6, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa China Mhe. Wang Ke walipokutana kwa mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 6, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Burundi nchini Mhe. Gervais Abayeho aliyemsindikiza Mjumbe maalumu wa Rais wa Burundi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Ezechiel Nibigira  Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 6, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na mjumbe maalumu wa Rais wa Burundi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Ezechiel Nibigira  Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 6, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na  mjumbe maalumu wa Rais wa Burundi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Ezechiel Nibigira aliyefika na Balozi wa Burundi nchini Mhe. Gervais Abayeho na afisa mwandamizi wa Ubalozi  Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 6, 2018

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *