RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWAONGOZA MAMIA YA WANANCHI KATIKA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MZEE AMRI ATHUMAN ‘KING MAJUTO’ KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM.AGOSTI 9,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Hamza Amri Athuman mtoto wa marehemu Msanii mkongwe wa Vichekesho na Maigizo nchini Mzee Amri Athuman “King Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.Agosti 9,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wa Serikali,Chama na dini pamoja na ndugu jamaa na marafiki  wa marehemu Msanii mkongwe wa Vichekesho na Maigizo nchini Mzee Amri Athuman “King Majuto wakati wa Dua ya kuaga mwili wa marehemu huyo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.Agosti 9,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt.Jakaya Kikwete,Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda pamoja na Mufti Mkuu Shekhe Abubakari Zuberi kabla ya dua ya kumuombea marehemu Msanii mkongwe wa Vichekesho na Maigizo nchini Mzee Amri Athuman “King Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.Agosti 9,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt.Jakaya Kikwete wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akizungumza kabla ya dua ya kumuombea marehemu Msanii mkongwe wa Vichekesho na Maigizo nchini Mzee Amri Athuman “King Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.Agosti 9,2018.

 

Baadhi ya ndugu,jamaa na marafiki waliojitokeza kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Msanii mkongwe wa Vichekesho na Maigizo nchini Mzee Amri Athuman “King Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.Agosti 9,2018.

Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally akisoma dua kumuombea Marehemu Mzee Amri Athuman “King Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Mara baada ya dua hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliongoza mamia ya wananchi kutoa heshma za mwisho katika msiba huo.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho katika jeneza lenye mwili wa Msanii mkongwe wa Vichekesho na Maigizo nchini Mzee Amri Athuman “King Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.Agosti 9,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Hamza Amri Athuman mtoto wa marehemu Msanii mkongwe wa Vichekesho na Maigizo nchini Mzee Amri Athuman “King Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *