RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI MSTAAFU JOSEPH ANAEL LESULIE. ADA ESTATE JIJINI DAR ES SALAAM.AGOSTI 17,2018

 

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitia saini katika kitabu cha Maombelezo cha Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwapa mkono wa pole familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa kufiwa na baba yao aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018

 

 

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018

Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo akiaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt.Hussein Mwinyi,Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo pamoja na waombolezaji wengine katika msiba  wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwake, aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *