RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA LAMADI WILAYA YA BUSEGA MKOANI SIMIYU.SEPTEMBA 8,2018.

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Lamadi Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu akiwa anatokea Mkoa wa Mara alipokuwa na ziara ya siku 4.Rais Magufuli ameanza ziara katika mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018

Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugola akizungumza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama ili kuzungumza na Wananchi wa Lamadi Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu akiwa anatokea Mkoa wa Mara alipokuwa na ziara ya siku 4.Rais Magufuli ameanza ziara katika mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.

Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Suleiman Jaffo akizungumza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama ili kuzungumza na Wananchi wa Lamadi Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu akiwa anatokea Mkoa wa Mara alipokuwa na ziara ya siku 4.Rais Magufuli ameanza ziara katika mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.

Naibu Waziri wa Madini Dotto Biteko akizungumza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama ili kuzungumza na Wananchi wa Lamadi Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu akiwa anatokea Mkoa wa Mara alipokuwa na ziara ya siku 4.Rais Magufuli ameanza ziara katika mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.

Wananchi wa Lamadi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama ili kuzungumza nao akitokea Mkoa wa Mara alipokuwa na ziara ya siku 4.Rais Magufuli ameanza ziara katika mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *