RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA BARIADI-MASWA KM 49.7 ITAKAYOJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI BARIADI MKOANI SIMIYU.SEPTEMBA 8,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono mamia ya wananchi wa Bariadi waliohudhuria katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi katika ujenzi wa barabara ya Bariadi-Maswa km 49.7 itakayojengwa katika kiwango cha lami.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono mamia ya wananchi wa Bariadi waliohudhuria katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi katika ujenzi wa barabara ya Bariadi-Maswa km 49.7 itakayojengwa katika kiwango cha lami

 

Sehemu ya Wananchi wa Bariadi waliohudhuria katika sherehe hizo za uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Bariadi-Maswa km 49.7 itakayojengwa katika kiwango cha lami

Katapila likiwa linaendelea na kazi ya ujenzi wa barabara ya Bariadi-Maswa km 49.7 itakayojengwa katika kiwango cha lami katika eneo la Bariadi mkoani Simiyu.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Bariadi katika sherehe hizo za uwekaji wa jiwe la msingi.

Mbunge wa Bariadi Andrew Chenge akifurahia jambo na Mbunge mwenzake wa Misungwi Charles Kitwanga wakati wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika sherehe za uwekaji wa jiwe hilo la msingi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa barabara ya Bariadi-Maswa km 49.7, Bariadi mkoani Simiyu. Sehemu ya Wananchi wa Bariadi waliohudhuria katika sherehe hizo za uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Bariadi-Maswa km 49.7 itakayojengwa katika kiwango cha lami

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *