RAIS DKT. MAGUFULI AAGANA NA BALOZI WA JAPANI ANAYEMALIZA MUDA WAKE. IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.SEPTEMBA 27,20187

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa wa Japan Masaharu Yoshida anayetarajia kumaliza muda wake wa kuiwakilisha Nchi ya Japan hapa Nchini mwisho wa mwezi Septemba 2018.Ikulu jijini Dar es Salaam.

Balozi wa wa Japan Masaharu Yoshida anayetarajia kumaliza muda wake wa kuiwakilisha Nchi ya Japan hapa Nchini mwisho wa mwezi Septemba 2018 akizungumza mara baada ya kuagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.Ikulu jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *