RAIS DKT.JOHN MAGUFULI AMUAPISHA DKT.DAMAS NDUMBARO KUWA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE, AKUTANA KUAGANA NA BALOZI WA MISRI NCHINI.SEPTEMBA 29,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha  Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam. Septemba 29, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimkambidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha  Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam.Septemba 29, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mstaafu Harold Nsekela akimuongoza  Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kula kiapo cha maadili ya viongozi baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam.Septemba 29, 2018

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akiongea baada ya Dkt. John Pombe Magufuli  kumuapisha  Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam. Septemba 29, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea baada ya kumuapisha  Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam. Septemba 29, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika  wa Bunge la Jamhuri Mhe. Job Ndugai na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja baada ya Dkt. Damas Daniel Ndumbaro  kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam.Septemba 29, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika  wa Bunge la Jamhuri Mhe. Job Ndugai na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama  baada ya Dkt. Damas Daniel Ndumbaro  kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam .Septemba 29, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akifurahia jambo na viongozi wa CCM Mkoa wa Ruvuma  baada ya kumuapisha  Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam.Septemba 29, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Misri nchini Tanzania Mhe. Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf aliyefika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Ikulu jijini Dar es salaam.Septemba 29, 2018   

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mshariki  Dkt. Damas daniel Ndumbaro kwa Balozi wa Misri nchini Tanzania Mhe. Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf aliyefika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Ikulu jijini Dar es salaam.Septemba 29, 2018 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *