Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wananchi kusikiliza kero zao katika moja ya Vijiji alivyopita akiwa katika ziara wilayani Kilindi Mkoa wa Tanga Julai 8,2014
wananchi wakisikiliza majibu ya kero zao kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete katika Vijiji alivyopita akiwa katika ziara wilayani Kilindi Mkoa wa Tanga Julai 8,2014
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songe Kilindi Julai 8,2014.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup litashindaniwa katika ligi ya wilaya ambapo mshindi atakabidhiwa kombe hilo na zawadi nyinginezo