RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA MISRI NA ETHIOPIA WANAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI.DESEMBA 10,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Misri hapa nchini Mohamed Gaber Mohamed Abulwafa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Misri hapa nchini Mohamed Gaber Mohamed Abulwafa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Misri hapa nchini Mohamed Gaber Mohamed Abulwafa mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Misri hapa nchini Mohamed Gaber Mohamed Abulwafa mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ethiopia hapa nchini Yonas Yosef Sanbe Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Ethiopia hapa nchini Yonas Yosef Sanbe Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Ethiopia hapa nchini Yonas Yosef Sanbe Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *