RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMJULIA HALI MAMA YAKE MZAZI BIBI. SUZANA MAGUFULI ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM.DESEMBA 30,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Wasaidizi wake wakimuombea Mama yake Mzazi Bibi. Suzana Magufuli anayepatiwa Matibabu Jijini Dar es Salaam. Desemba 30, 2018. Bibi Suzana Magufuli anasumbuliwa na ugonjwa wa Kiharusi ambapo amekuwa akipatiwa matibabu kwa takribani miezi mitatu sasa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *