RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA MADHEHEBU MBALIMBALI WA DINI. IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. JANUARI 23,2019

Mufti Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania Shekhe Abubakary Zuberi akioomba dua maalumu  mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  kwa niaba ya Viongozi wa Madhehebu yote ya Kiislamu Nchini walipokuatana kwaajili ya mazungumzo na Rais  Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam . Januari 23, 2019

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoriki la Dar es salaam Mhadhama Policapy Kadinali Pengo  akioomba dua maalumu  mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  kwa niaba ya Viongozi wa Madhehebu yote ya Kikristo Nchini walipokuatana kwaajili ya mazungumzo na Rais  Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es salaam . Januari 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza   viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya dini  alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam . Januari 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na   viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya dini  alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam . Januari 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea wakati alipokutana na viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya dini Ikulu jijini Dar es salaam . Januari 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya pamoja ba Viongozi  wa makanisa mbalimbali  Ikulu jijini Dar es salaam. Januari 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kiislamu  Ikulu jijini Dar es salaam. Januari 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya pamoja ba Viongozi  wa makanisa mbalimbali  Ikulu jijini Dar es salaam.Januari 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya pamoja na watangazaji wa vipindi vya dini  Ikulu jijini Dar es salaam. Januari 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya pamoja  na Mawaziri na Manaibu Waziri waliohudhuria mkutano huo  Ikulu jijini Dar es salaam. Januari 23, 2019

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *