RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUNUKU NISHANI IKULU DAR ES SALAAM DESEMBA 09, 2014

DSC_8358

Baadhi ya watu mashuhuri waliotunukiwa Nishani na Rais Jakaya Kikwete.

DSC_8378

 

 Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto), Rais mstaafu Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakiwa katika hafla ya kutunuku Nishani Ikulu jijini Dar es Salaam.
DSC_8391
 Rais Jakaya Kikwete akimvisha Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili na Rais Jakaya Kikwete, Pius Chipanda Msekwa.
DSC_8396
DSC_8397
Rais Jakaya Kikwete akipeana mkono na Pius Chipanda Msekwa baada ya kumtunuku Nishani.
DSC_8399
 Rais Jakaya Kikwete akimvisha Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili Samuel John Sitta. 
DSC_8407
Jaji Augustino Ramadhani akivishwa Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili na Rais Jakaya Kikwete.
DSC_8412
Paul Milyango Rupia akivishwa Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili
DSC_8422
 Anna Abdallah akipokea Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Tatu.
DSC_8431
 Kingunge Ngombale Mwiru akipokea Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Tatu.
DSC_8437
Mwakilish wa marehemu Isaack Abraham Sepetu akipokea Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Tatu kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete.
DSC_8446
Ali Ameir Mohamed akivishwa Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Tatu na Rais Jakaya Kikwete.
DSC_8455
Balozi Augustine Mahige akivishwa Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Tatu.
DSC_8461
IGP mstaafu, Phillemon Mgaya akipata Nishani na Tuzo kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Tatu.
DSC_8479
Bibi Johari Yusuf Akida akipata Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Nne
DSC_8481
Mwakilishi wa Band ya Atomic Jazz  Band akipata Nishani Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Nne.
DSC_8491
 Rais Jakaya Kikwete akimvisha Nishani ya Ushupavu Kassim Said Kassim ambaye ni muuza Chips katika maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam, Kassim alitunukiwa Nishani hiyo baada ya kupambana na jambazi aliyevamina na kupora wateja katika eneo la biashara yake na kumpiga chepe na kusababisha kupatikana kwa bastola moja pamoja na risasi tano
DSC_8505
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali pamoja na wawakilishi wa watunukiwa wa Nishani Ikulu jijini Dar es Salaam. 
DSC_8515
Waliopata Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete. 
DSC_8523
Waliopata Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Tatu wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete. 
DSC_8532
 Rais akiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa marehemu Sophia Kawawa pamoja na Bibi Johari Yusuf Akida (kulia) baada ya kuwatunuku Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Nne
DSC_8542
 Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa marehemu Brigedia Jenerali mstaafu Adam Mwakanjuki (kulia)
DSC_8554
 Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mtunukiwa wa Nishani ya Ushupavu, Kassim S Kassim wa pili kulia.
DSC_8557
Hongera kwa ushupavu uliouonyesha……
DSC_8566
Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Kassim Said Kassim baada ya kumtunuku Nishani ya Ushupavu.
DSC_8571
Wakuu wa vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *