RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME KV 220 KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA MKOANI RUVUMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg wakiminya kitufe kwa pamoja kuashiria uzinduzi wa mradi wa Ujenzi wa njia kuu ya kusafirisha umeme KV 220 kutoka Makambako hadi Songea pamoja na vituo vya kupooza umeme KV 220/33 katika sherehe zilizofanyika Songea mkoani Ruvuma. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg mara baada ya uzinduzi wa mradi wa Ujenzi wa njia kuu wa umeme KV 220 kutoka Makambako hadi Songea pamoja na vituo vya kupooza umeme KV 220/33 katika sherehe zilizofanyika Songea mkoani Ruvuma. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg wakiangalia mradi huo wa umeme utakavyosambaza umeme katika maeneo mbalimbali kutoka kutoka Makambako hadi Songea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg, Waziri wa Nishati Medard Kalemani wakielekea eneo la uzinduzi wa mradi huo mkubwa wa usafirishaji wa umeme.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg wakipungia mikono wananchi waliohudhuria katika sherehe hizo za uzinduzi wa mradi wa umeme.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika uzinduzi wa mradi wa Ujenzi wa njia kuu ya kusafirisha umeme KV 220 kutoka Makambako hadi Songea pamoja na vituo vya kupooza umeme KV 220/33 katika sherehe zilizofanyika Songea mkoani Ruvuma.

Moja ya kituo cha kupooza umeme cha Songea.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi la kituo Kikuu cha Mabasi cha Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa kituo Kikuu cha Mabasi cha Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.

Sehemu ya wananchi wa Songea mkoani Ruvuma wakiwa ndani ya Uwanja wa mpira wa Majimaji kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondary ya Wasichana Songea (Girls) mara baada ya kuhutubia wananchi wa Songea mkoani Ruvuma katika uwanja wa Majimaji. Rais Magufuli ameichangia shule hiyo kiasi cha Shilingi milioni 5

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondary ya Wasichana Songea (Girls) mara baada ya kuhutubia wananchi wa Songea mkoani Ruvuma katika uwanja wa Majimaji. Rais Magufuli ameichangia shule hiyo kiasi cha Shilingi milioni 5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuzindua matrekta kwa ajili ya wakulima mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wakazi wa Songea mara baada ya kuwahutubia katika uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wakazi wa Songea mara baada ya kuwahutubia katika uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika uwanja wa Majimaji mkoani Songea.

Wanafunzi wa Shule za Sekondari Songea mkoani Ruvuma wakifurajia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasalimia. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *