RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA NJOMBE PIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA NJOMBE-MAKETE KM 107.4 MKOANI NJOMBE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu pamoja na viongozi wengine akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Afya Ummy Mwalimu mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maeneo mbalimbali ya hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe ambayo ujenzi wake upo katika hatua za mwisho kukamilika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi mbalimbali, pamoja na wakandarasi wanaojenga majengo katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe mara baada ya kuweka jiwe la msingi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu pamoja na viongozi wengine mara baada ya ya kuweka jiwe la msingi katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete km 107.4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiimba pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Ramadhani wakati alipokwenda kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete km 107.4.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Ramadhani walipokuwa wakimuonesha Shule yao ilipo pembezoni mwa barabara ya Njombe-Makete. Mkandarasi wa barabara hiyo amewaahidi watoto hao kuwajengea vyumba vya madarasa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi waishio pembezoni mwa barabara ya Njombe-Makete mara baada ya kuiwekea jiwe la msingi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Njombe katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya sabasaba mkoani Njombe. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akisikiliza maelezo yaliokuwa yakitolewa na Dkt. Mkoni kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe kabla ya kuweka jiwe la msingi hospitalini hapo. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono pamoja na kuwasukuru wanachi wa Njombe waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Sabasaba mkoani humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia jengo hilo la hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.

Baadhi ya wakazi wa Njombe wakiwa katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya sabasaba.

Sehemu ya jengo la la hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *