RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMEZINDUA MJI PYA WA SERIKALI MTUMBA JIJINI DODOMA. APRILI 13, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi wengine kuashiria Uzinduzi wa Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuzindua Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika mara baada ya kuzindua Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi wengine kuashiria Uzinduzi wa Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika mara baada ya kukata utepe alipozindua Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ofisi mpya ya Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora mara baada ya kuzindua Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ofisi mpya ya Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora mara baada ya kuzindua Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga simu alipokuwa katika Ofisi mpya ya Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora mara baada ya kuzindua Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo akimvesha cheo cha Brigedia Charles Mbuge mara baada ya kumpandisha cheo hicho kipya kutoka Kanali katika uzinduzi wa Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo akipigiwa Saluti na Brigedia Charles Mbuge mara baada ya kumpandisha cheo hicho kipya kutoka Kanali katika uzinduzi wa Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo akimpongeza Brigedia Charles Mbuge mara baada ya kumpandisha cheo hicho kipya kutoka Kanali katika uzinduzi wa Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa Saluti na Brigedia Charles Mbuge mara baada ya kumpandisha cheo hicho kipya kutoka Kanali katika uzinduzi wa Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Brigedia Charles Mbuge mara baada ya kumpandisha cheo hicho kipya kutoka Kanali katika uzinduzi wa Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi wa Dini mara baada ya kuzindua Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa Rais wa awamu ya nne Mhe.Salma Kikwete mara baada ya kuzindua Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa Majengo 21 ya Wizara zote eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Jengo jipya la Ofisi ya Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *