TAASISI YA NELSON MANDELA YAMTUNUKU RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE DIGRII YA UZAMIVU YA HESHIMA(PHD HONORIS CAUSA) DESEMBA 18, ARUSHA

1111

 

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela Dkt.Mohamed Gharib Bilal akimtunuku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Digrii ya uzamivu ya Heshima(PHD Honoris Causa) wakati wa mahafali ya pili ya chuo hicho iiyofanyika katika chuo hicho mjini Arusha Desemba 18, 2014

2bgg

 

Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela ambaye pia ni Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal akimpongeza Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais Kutunikiwa Digrii ya Uzamivu ya heshima katika viwanja vya taasisi hiyo mjini Arusha Desemba 18, 2014

 

8wot

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi waliotunukiwa digrii za taasisi ya sayansi na teknolojia ya Nelson Mandela jana mjini Arusha . Wanne kulia aliyeketi mbele ni Mkuu wa Taasisi hiyo ambaye pia ni Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal,Naibu Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bwana Getachew Engida(kushoto), Mwenyekiti wa Bodi ya Tassisi hiyo Profesa David Mwakyusa(Wapili kushoto), Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof.Makame Mbarawa(kulia) na wapili kulia Makamu Mkuu wa Chuo Prof.Burton Mwamila

1a

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na naibu Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Getachew Engida wakati wa mahafali ya pili ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela iiyofanyika mjini Arusha Desemba 18, 2014. Katika hafla hiyo Taasisi hiyo ilimtunuku Rais Kikwete digrii ya heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake katika Nyanja mbalimbali nchini na barani Afrika kwa ujumla ikiwemo Afya,Uchumi ,Elimu na Amani katika nchi zenye migorogo .

2a

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya shukrani baada ya kutunukiwa digrii ya Uzamivu ya heshima katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandea mjini Arusha Desemba 18, 2014

2

 

3

 

4

Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela ambaye pia ni Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal akitunuku Digrii mbalimbali katika maafali yaliyofanyika katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandea mjini Arusha Desemba 18, 2014

5

 

6

Sehemu ya wahitimu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandea mjini Arusha Desemba 18, 2014

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *