RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA JENGO LA NHIF NA KUHUTUBIA MAMIA YA WANANCHI WA JIJI LA MBEYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi za NHIF lililopo jijini Mbeya tarehe 26/04/2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Afya Ummy Mwalimu mara baada ya kufungua Jengo la Ofisi za NHIF lililopo jijini Mbeya  tarehe 26/04/2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko huo wa Bima ya Afya Anna Makinda akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo hilo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya. Aprili 26, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kwenye jengo hilo la NHIF mara baada ya kulifungua.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia na kuwashukuru wananchi wa Mbeya waliokusanyika katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili

Sehemu ya Wananchi waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya .Aprili 26, 2019. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mbeya katika viwanja vya Ruanda Nzovwe.

Sehemu ya Wananchi wa Mbeya waliohudhuria Mkutano wa hadhara katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya.

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akiwa na wananchi wengine akifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya. Aprili 26, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya. Aprili 26, 2019.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *