RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA RAFIKI YAKE MAREHEMU FESTO RUTAMIGWA ISOKOZA KATIKA HOSPITALI KUU YA JWTZ YA LUGALO JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu Festo Rutamigwa Isokoza alipoongoza waombolezaji kuaaga mwili huo katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam. Mei 15, 2019. Marehemu aliyekuwa mtaalamu wa kilimo alifanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile JKT Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki mkubwa wa  Rais Dkt Magufuli ambaye  walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya sekondari katika Seminari ya Katoke, Biharamulo mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa mkono wa pole kwa mjane Mama Anna Isokoza kuifariji familia ya  marehemu Festo Rutamigwa Isokoza alipoongoza waombolezaji kuaaga mwili  wa marehemu katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam. Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo
aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile
makambi ya  JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki mkubwa wa  Rais Dkt Magufuli ambaye
walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya
Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya sekondary katika
Seminari ya Katoke, Biharamulo mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwasindikiza mjane Mama Anna Isokoza na familia ya  marehemu Festo Rutamigwa Isokoza baada ya kuongoza waombolezaji kuaaga mwili marehemu katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam .Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya  JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki mkubwa wa  Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli akiagana na  familia ya marehemu Festo Rutamigwa Isokoza baada ya kuongoza waombolezaji kuaaga mwili marehemu katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam . Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya  JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki mkubwa wa
Rais Dkt Magufuli ambaye  walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea machache baada ya kuongoza waombolezaji kuaaga mwili marehemu marehemu Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam . Mei
15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi
katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya
Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,
alikuwa rafiki mkubwa wa  Rais Dkt Magufuli ambaye  walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli  akiagana na waombolezaji baada ya kuongoza hafla ya kuaaga mwili marehemu marehemu Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam. Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo
aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki mkubwa wa  Rais Dkt Magufuli ambaye
walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya
Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya secondary katika
Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Waziri wa zamani Mhe. Edgar
Maokola Majogo  aliyekuwa miongoni mwa  waombolezaji baada ya kuongoza hafla ya kuaaga mwili marehemu marehemu Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam . Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki mkubwa wa  Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli akiagana na askari  baada ya
kuongoza hafla ya kuaaga mwili marehemu marehemu Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki mkubwa wa Rais Dkt Magufuli ambaye  walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita  na baadaye elimu ya secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *