RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AFRICAN DEVELOPMENT BANK-AfDB DKT. AKINWUMI ADESINA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Akinwumi Adesina mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Akinwumi Adesina mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Akinwumi Adesina mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya picha ya Wanyama Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Akinwumi Adesina mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Akinwumi Adesina mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mgeni wake Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Akinwumi Adesina mara baada ya kupiga picha ya pamoja na viongozi wengine kutoka nchini na ujumbe kutoka benki hiyo ya AfDB.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari pamoja na mgeni wake Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Akinwumi Adesina mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Akinwumi Adesina  akizungumza na wanahabari pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufulija mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *