ZIARA YA RAIS KIKWETE LUSHOTO – TANGA

dscdc

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi ufunguo kwa mmoja wa wakulima waliokopeshwa matrekta kwaajili ya kilimo wilyani Lushoto Julai 9,2014

 1

 

chuo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wanafunzi wa wageni waliohudhuria sherehe ya ufunguzi wa ukumbi wa mihadhara wa Benjamin William Mkapa uliofanyika katika chuo kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University SEKOMU  Lushoto Mkoani Tanga Julai 9,2014

2

 

2

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika Chuo Kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University mabapo alifungua ukumbi wa mihadhara na kuhutubia wananchi.Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha SEKOMU Askofu Dr.Stephen Munga na kulia ni makamu wa chuo Dr.Anneth Munga. Julai 9,2014

3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasililiza kwa makini wanafunzi kutoka Irente school for the Blind wakati walipoimba shairi maalumu wakati wa sherehe za ufunguzi wa ukumbi wa mihadhara wa Benjamin William Mkapa katika  chuo kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University SEKOMU Julai 9,2014

22

Rais Jakaya Mrisho Kikwete  katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya msingi malindi wakati alipopita kijijini hapo akiwa katika ziara yake ya kukagua shughuli za maendeleo wilayani  Lushoto

333

 

11

Wananchi wa kijiji cha Malindi Lushoto wakimweleza kero zao za kijiji hicho Rais Jakaya KiKwete wakati alipopita kijijini hapo kwa ziara yake ya kukagua shughuli za maendeleo wilayani  Lushoto

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *