RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI MKE WA BABA WA TAIFA MAMA MARIA NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimuombea mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *